Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Aprili 14-20
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Machi

APRILI 14-20

METHALI 9

Wimbo 56 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Uwe Mwenye Hekima, Si Mwenye Dhihaka

(Dak. 10)

Mtu mwenye dhihaka hakubali mashauri yenye upendo bali anamchukia anayemshauri (Met 9:​7, 8a; w22.02 9 ¶4)

Mtu mwenye hekima huthamini mashauri pamoja na anayemshauri (Met 9:8b, 9; w22.02 12 ¶12-14; w01 5/15 30 ¶1-2)

Mtu mwenye hekima atapata faida, lakini mwenye dhihaka ataumia (Met 9:12; w01 5/15 30 ¶5)

Dada kijana akisikiliza ushauri wa dada mwenye umri mkubwa huku wakila chakula pamoja kwenye mkahawa.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 9:17—“Maji yaliyoibwa” ni nini, na kwa nini ni “matamu”? (w06 9/15 17 ¶5)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 9:​1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba alihudhuria Ukumbusho. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. Wakati uliopita ulimsaidia mtu huyo kufahamu mahali ambapo Ukumbusho ungefanyiwa karibu naye. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Wakati uliopita ulimsaidia mtu wa ukoo kufahamu mahali ambapo Ukumbusho ungefanyiwa karibu naye. (lmd somo la 8 jambo kuu la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 84

7. Je, Mapendeleo Yanamaanisha Umependelewa?

(Dak. 15) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Neno “pendeleo” linamaanisha nini?

  • Wale walio na mapendeleo kutanikoni wanapaswa kuwa na maoni gani kujihusu?

  • Kwa nini ni muhimu zaidi kuwa na mapendeleo ya kuwatumikia wengine kuliko kuwa na cheo?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 25 ¶5-7, sanduku uk. 200

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 42 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2025 | Februari

Makala ya 6: Aprili 14-20, 2025

2 Kwa Nini Tunathamini Msamaha wa Yehova?

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki