-
Mwe na Imani Kama ya Abrahamu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Agosti 15
-
-
12 Ingawa Biblia husema kwamba Loti alikuwa “mwadilifu,” kwa sababu fulani yeye hakumnyenyekea Abramu kwa staha kuhusiana na jambo hilo, wala haionekani kana kwamba alitafuta ushauri wa Abramu aliyekuwa na umri mkubwa zaidi. (2 Petro 2:7) ‘Loti akajichagulia Bonde lote la Yordani; Loti akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
-