-
Yakobo Alithamini Mambo ya KirohoMnara wa Mlinzi—2003 | Oktoba 15
-
-
Labani alianzisha jambo ambalo lingesababisha hali ya kutoelewana kwa muda wa miaka 20 iliyofuata. “Kwa sababu wewe ni ndugu yangu, basi, je! unitumikie bure?” akauliza. “Niambie mshahara wako utakuwa nini?” Ingawa Labani alijifanya kuwa mjomba mwema, alipuuza uhusiano wake wa kiukoo pamoja na Yakobo na kufanya mapatano ya kazi pamoja naye.
-