-
Imani ya Wazazi YathawabishwaMnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
-
-
Binti ya Yokebedi, Miriamu, alisimama karibu ili kuona kile ambacho kingetukia baadaye. Kisha binti ya Farao akaja kwenye Mto Naili kuoga.a Labda Yokebedi alijua kwamba binti-mfalme alizuru sehemu hiyo ya Mto Naili mara nyingi, akaacha kimakusudi hicho kisanduku mahali kingegunduliwa kwa urahisi. Kwa vyovyote, binti ya Farao alikiona upesi hicho kisanduku kilichofichwa katika tete, na alimwita mmojawapo wa vijakazi wake kukileta.
-
-
Imani ya Wazazi YathawabishwaMnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
-
-
a Wamisri waliabudu Mto Naili ukiwa mungu wa uzazi. Waliamini kwamba maji yao yalikuwa na nguvu za kutokeza uwezo wa kuzaa sana na hata kurefusha maisha.
-