-
Tii kwa Uaminifu Mamlaka ya KimunguMnara wa Mlinzi—2002 | Agosti 1
-
-
c Nyakati za wazee wa ukoo, kila kichwa cha familia aliwakilisha mke na watoto wake mbele za Mungu, na hata kutoa dhabihu kwa niaba yao. (Mwanzo 8:20; 46:1; Ayubu 1:5) Hata hivyo, Sheria ilipotolewa, Yehova alichagua wanaume kutoka familia ya Aroni kuwa makuhani ambao wangewatolea watu dhabihu. Yaonekana waasi hao 250 hawakutaka kukubali badiliko lililofanywa katika mpango huo.
-
-
Tii kwa Uaminifu Mamlaka ya KimunguMnara wa Mlinzi—2002 | Agosti 1
-
-
Lakini kuhusu Kora na watu waliomwunga mkono, ‘moto ulitoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba.’—Hesabu 16:19-22, 35.c
-