-
Kutoka Misri Hadi Nchi Ya Ahadi‘Ona Nchi Nzuri’
-
-
I4 Barabara ya Mfalme
-
-
Kutoka Misri Hadi Nchi Ya Ahadi‘Ona Nchi Nzuri’
-
-
Walizunguka kandokando ya eneo la kati la Edomu na kupanda juu kupitia “barabara ya mfalme,” au Barabara Kuu ya Mfalme. (Hes 21:22; Kum 2:1-8) Haikuwa rahisi kwa taifa zima lenye watoto, wanyama, na mahema kupitia njia hiyo. Iliwabidi kuteremka kwa kufuata njia iliyojipinda-pinda na kupanda tena makorongo yenye miinuko mikali, yaani, Zeredi na Arnoni (yenye kina cha meta 520 hivi).—Kum 2:13, 14, 24.
-