Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sahihi Kisayansi
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
    • MFANO: Sheria ya Musa iliwaamuru Waisraeli wachimbe na kufunika mavi yao “nje ya kambi.” (Kumbukumbu la Torati 23:12, 13)

  • Sahihi Kisayansi
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
    • MAMBO AMBAYO TIBA YA KISASA IMETHIBITISHA: Kuondoa kinyesi kwa njia inayofaa, kunawa mikono, na kutenga wagonjwa bado ndiyo njia bora ya kupambana na magonjwa. Ikiwa hakuna vyoo karibu au mfumo wa kuondoa maji machafu na takataka, Vituo vya Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukiza vya Marekani (CDC) vinatoa ushauri huu: “Funika mavi angalau mita 30 hivi kutoka mahali penye maji.” Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, watu wanapohakikisha kwamba wanaondoa kinyesi kwa njia inayofaa, wanapunguza magonjwa ya kuharisha kwa asilimia 36.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki