Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeftha Anatimiza Nadhiri Yake Kwa Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
    • Wakati huo, Yeftha ana matatizo yake mwenyewe. Ndugu zake wa kambo wenye pupa wamemfukuza ili wachukue urithi wake. Kwa hiyo, Yeftha anahamia Tobu, eneo lililo mashariki ya Gileadi na ambalo linaweza kuvamiwa kwa urahisi na maadui wa Israeli. “Watu wanaozurura-zurura,” ambao inaelekea walikuwa watu walioachishwa kazi na wakandamizaji au watu ambao waliasi kwa sababu ya kutumikishwa, wanajikusanya kwa Yeftha. ‘Wanaenda nje pamoja naye,’ labda kumaanisha kwamba wanafuatana na Yeftha anapovamia majirani wenye uadui.

  • Yeftha Anatimiza Nadhiri Yake Kwa Yehova
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
    • (Waamuzi 11:1-3)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki