-
Yeftha Anatimiza Nadhiri Yake Kwa YehovaMnara wa Mlinzi—2007 | Mei 15
-
-
Binti ya Yeftha na baadaye mvulana Samweli walikubali kutimiza nadhiri za wazazi wao waliomwogopa Mungu. (1 Samweli 1:11) Akiwa mwabudu mshikamanifu wa Yehova, binti ya Yeftha alisadiki mwenyewe kama baba yake kwamba nadhiri iliyowekwa na baba yake ilipaswa kutimizwa. Ilikuwa dhabihu kubwa, kwa sababu ilimaanisha kwamba hangeolewa kamwe.
-