-
“Mwanamke Bora Sana”Mnara wa Mlinzi—2012 | Oktoba 1
-
-
“Wewe ni nani, binti yangu?” Naomi akamuuliza Ruthu alipofika nyumbani. Labda aliuliza hivyo kwa sababu kulikuwa na giza, lakini Naomi alitaka pia kujua ikiwa bado Ruthu alikuwa mjane yuleyule au kama sasa alikuwa na tarajio la kuolewa. Ruthu akamweleza haraka mama-mkwe wake mambo yote yaliyokuwa yametukia kati yake na Boazi.
-
-
“Mwanamke Bora Sana”Mnara wa Mlinzi—2012 | Oktoba 1
-
-
Kisha akamwonyesha zawadi ya ukarimu ya shayiri ambayo Boazi alikuwa amemwambia ampe Naomi.d—Ruthu 3:16, 17.
-