-
Historia Sahihi, Wala Si HadithiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Baadaye, “Evil-merodaki mfalme wa Babiloni, katika mwaka wa kuwa kwake mfalme, akakiinua kichwa cha Yehoyakini mfalme wa Yuda kutoka katika nyumba ya ki
-
-
Historia Sahihi, Wala Si HadithiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Vipi kuhusu kuwapo kwa Evil-merodaki, mfalme aliyetawala baada ya Nebukadneza? Chombo fulani kilichopatikana karibu na jiji la Susa kilikuwa na maandishi haya: “Jumba la kifalme la Amili-Marduki [Evil-merodaki], Mfalme wa Babiloni, mwana wa Nebukadneza, Mfalme wa Babiloni.”
-