-
Aliwatetea Watu wa MunguMnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
Kisha, akajitolea kuchanga kiasi kikubwa cha pesa kwa hazina ya mfalme ili kulipia kazi ya kuwaua Wayahudi wote katika milki hiyo.c
-
-
Aliwatetea Watu wa MunguMnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
c Hamani alitoa mchango wa talanta 10,000 za fedha, kiasi ambacho leo ni sawa na mamilioni ya dola. Ikiwa Ahasuero alikuwa Shasta wa Kwanza, basi huenda pesa hizo zilimchochea akubali pendekezo la Hamani. Shasta alikuwa ametumia pesa nyingi sana alipopigana na Wagiriki katika vita vilivyosababisha uharibifu mkubwa. Labda alipigana vita hivyo kabla ya kumwoa Esta.
-