-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Mfalme mwenye uelekevu aendelea kusema: “Tazama, mwanamke akamkuta, ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo;
-
-
“Uzishike Amri Zangu Ukaishi”Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
-
-
Mvao wa mwanamke huyu waonyesha waziwazi yeye ni mwanamke wa aina gani. (Mwanzo 38:14, 15) Amevalia bila kiasi kama kahaba. Zaidi ya hayo, ni mwerevu wa moyo—ana akili “yenye hila na makusudio ya ujanja.”
-