-
Je, Kazi Yako Itastahimili Moto?Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Yesu alijua yote kuhusu umuhimu wa misingi. Alikuwepo Yehova alipoweka msingi wa dunia.a (Mithali 8:29-31)
-
-
Je, Kazi Yako Itastahimili Moto?Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
a Huenda ‘msingi wa dunia’ ukawa warejezea nguvu za asili zinazoshikilia dunia imara—na sayari zote—mahali pake. Kwa kuongezea, dunia yenyewe imefanyizwa katika njia ya kwamba ‘haitatikisika,’ au kupatwa na uharibifu.—Zaburi 104:5.
-