-
“Linda Moyo Wako”Mnara wa Mlinzi—2000 | Mei 15
-
-
Kwa kufaa, Solomoni atushauri: “Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
-
-
“Linda Moyo Wako”Mnara wa Mlinzi—2000 | Mei 15
-
-
Kwa kuzingatia ushauri wa Solomoni, twahitaji kuchunguza usemi wetu na matendo yetu. Ni lazima tuepuke usemi uliopotoka na wa ujanja ili kulinda moyo wetu na kumfurahisha Mungu. (Mithali 3:32) Hivyo, twapaswa kutafakari kwa sala kuhusu yale yanayodhihirishwa na usemi wetu na matendo yetu. Basi na tutafute msaada wa Yehova ili kurekebisha udhaifu wowote tunaoona.—Zaburi 139:23, 24.
-