Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ibada ya Kweli Yapanuka Ulimwenguni Pote
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 11, 12. (a) Yule “mwanamke” anaona nini anapokaza macho magharibi? (b) Kwa nini watu wengi sana wanafanya haraka kwenda Yerusalemu?

      11 Sasa Yehova anamwagiza yule “mwanamke” atazame kwenye upeo wa magharibi. Halafu Yehova anauliza: “Ni nani hawa warukao kama wingu, na kama njiwa waendao madirishani kwao?” Yehova mwenyewe anajibu hivi:

  • Ibada ya Kweli Yapanuka Ulimwenguni Pote
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 60:8,

  • Ibada ya Kweli Yapanuka Ulimwenguni Pote
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 12 Wazia kwamba umesimama pamoja na “mwanamke” huyo, ukikaza macho magharibi ng’ambo ya Bahari Kuu. Unaona nini? Wingu la mbali la madoa meupe yakielea juu ya maji. Wanaonekana kama ndege. Lakini wanapokaribia zaidi, unaona kwamba kumbe ni merikebu zenye matanga yaliyotwekwa. ‘Zimekuja kutoka mbali.’a (Isaya 49:12) Mashua zinazoenda kasi kuelekea Sayuni ni nyingi sana hivi kwamba zinaonekana kama kundi la njiwa wanaoelekea nyumbani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki