-
Sala ya TobaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wewe wamlaki yeye afurahiaye yaliyo haki na kuyatenda, watu wale wakukumbukao katika njia zako.” (Isaya 64:4, 5a)
-
-
Sala ya TobaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yeye huchukua hatua kuwalinda wale wanaotenda uadilifu na wale wanaomkumbuka. (Isaya 30:18) Je, Wayahudi wametenda hivyo? Sivyo. Isaya anamwambia Yehova hivi: “Tazama, ulikuwa na hasira, nasi tulitenda dhambi; tumekuwa katika mambo haya muda mwingi; nasi, je! tutaokolewa?” (Isaya 64:5b) Kwa sababu watu wa Mungu wamekuwa wakizidi tu kufanya dhambi kwa muda mrefu, hakuna msingi wa kumfanya Yehova asitesite kuleta ghadhabu yake ya haki na kuwaletea wokovu.
-