-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
b Ashuru pia yafananishwa na ndege ambaye mabawa yake yaliyonyoshwa “[ya]ujaza upana wa nchi yako.” Kwa hiyo, jeshi la Ashuru litajaza pembe zote za nchi.
-
-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
atapita kwa kasi na kuingia Yuda; atafurika na kupita katikati, atafika hata shingoni; na kule kuyanyosha mabawa yake kutaujaza upana wa nchi yako, Ee Imanueli.”—Isaya 8:5-8.
-
-
Mtumaini Yehova Ukabilipo JangaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kisha, Isaya asema, “maji” yanayofurika “[y]atapita kwa kasi na kuingia Yuda,” na kufika “hata shingoni,” hadi Yerusalemu, ambako kichwa (mfalme) cha Yuda chatawala.b Katika wakati wetu, vivyo hivyo wafishaji wa kisiasa wa dini isiyo ya kweli watavamia watumishi wa Yehova na kuwazingira “hata shingoni.” (Ezekieli 38:2, 10-16) Tokeo litakuwa nini? Basi, ni nini kinachotukia wakati wa Isaya? Je, Waashuri wafurika kupitia kuta za jiji na kuwafagilia mbali watu wa Mungu? La. Mungu yuko pamoja nao.
-