-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya BWANA; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea.” (Isaya 14:1, 2)
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wataambatana na maelfu ya wageni, ambao wengi wao watakuwa watumishi wa hekaluni wa Waisraeli. Hata Waisraeli fulani watakuwa na mamlaka juu ya watekaji wao wa awali.c
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
c Kwa kielelezo, Danieli aliteuliwa kuwa ofisa wa juu katika Babiloni chini ya Wamedi na Waajemi. Na karibu miaka 60 baadaye, Esta akawa malkia wa Mfalme Ahasuero wa Uajemi, naye Mordekai akawa waziri mkuu wa Milki yote ya Uajemi.
-