Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hekima wanayojivunia Wamisri, pamoja na ‘sanamu zao, na waganga wao,’ haiwaokoi kutoka katika “mikono ya bwana mgumu.” (Isaya 19:3, 4) Ashuru, Babiloni, Uajemi, Ugiriki, na Roma, zaishinda Misri kabisa.

  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 28. Katika siku ya hukumu, dini isiyo ya kweli itaweza kufanya nini ili kuuokoa mfumo huu wa mambo?

      28 “Roho ya Misri itamwagika kabisa katikati yake, nami nitayabatilisha mashauri yake, nao watakwenda kwa sanamu zao, na kwa waganga, na kwa wapiga ramli, na kwa wachawi.” (Isaya 19:3) Musa alipoenda mbele ya Farao, makuhani wa Misri waliaibishwa, kwa kuwa hawakuweza kulingana na Yehova katika nguvu. (Kutoka 8:18, 19; Matendo 13:8; 2 Timotheo 3:8) Vivyo hivyo, katika siku ya hukumu, dini isiyo ya kweli haitaweza kuuokoa mfumo huu wenye ufisadi. (Linganisha Isaya 47:1, 11-13.)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki