Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 34. (a) Yehova atajulikanaje kwa “Wamisri,” nao watamtolea dhabihu na zawadi gani? (b) Yehova ataipiga “Misri” lini, na ni uponyaji gani utakaofuata?

      34 Kwa sasa, ni mapenzi ya Mungu kwamba watu wa namna zote wapate ujuzi sahihi nao waokolewe. (1 Timotheo 2:4) Basi, Isaya aandika: “BWANA [“Yehova,” “NW”] atajulikana na Misri, na Wamisri watamjua BWANA katika siku hiyo; naam watamtumikia kwa dhabihu na matoleo, nao watamwekea BWANA nadhiri, na kuzitekeleza.

  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 19:21,

  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Watu kutoka katika mataifa yote ya ulimwengu wa Shetani, “Wamisri” mmoja-mmoja, wapata kumjua Yehova na kumtolea dhabihu, “tunda la midomo ambayo hulifanyia jina lake tangazo la hadharani.” (Waebrania 13:15) Wao huweka nadhiri kwa Yehova kwa kujiweka wakfu kwake, nao huitekeleza nadhiri yao kwa kuishi maisha ya utumishi wenye uaminifu-mshikamanifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki