-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
35, 36. Kwa utimizo wa Isaya 19:23-25, ni uhusiano gani uliokuja kuwapo kati ya Misri, Ashuru, na Israeli katika nyakati za kale?
35 Kisha nabii huyo aona kimbele tukio la ajabu: “Katika siku hiyo itakuwako njia kuu itokayo Misri na kufika hata Ashuru; Mwashuri atafika Misri, na Mmisri atafika Ashuru, na Wamisri wataabudu pamoja na Waashuri.
-
-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naam, siku moja, kutakuwepo uhusiano wa kirafiki kati ya Misri na Ashuru. Jinsi gani?
36 Yehova alipowaokoa watu wake kutoka katika mataifa nyakati zilizopita, ni kana kwamba aliwafanyia njia kuu zinazoelekea kwenye uhuru. (Isaya 11:16; 35:8-10; 49:11-13; Yeremia 31:21) Utimizo mdogo wa unabii huo ulitukia baada ya kushindwa kwa Babiloni wakati wahamishwa kutoka Ashuru na Misri, na vilevile kutoka Babiloni, walipoletwa tena kwenye Bara Lililoahidiwa. (Isaya 11:11)
-
-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Baadhi ya mataifa hayo ni kama Ashuru, yana uwezo mkubwa wa kijeshi. Mataifa mengine ni yenye uhuru zaidi, labda kama Misri—ambayo wakati mmoja ilikuwa “mfalme wa kusini” katika unabii wa Danieli. (Danieli 11:5, 8) Mamilioni ya watu mmoja-mmoja kutoka katika mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi na yale yenye uhuru zaidi wameikubali njia ya ibada ya kweli. Kwa hiyo, watu kutoka katika mataifa yote wameungana katika ‘ibada.’ Hakuna migawanyiko yoyote ya kitaifa miongoni mwao. Wao hupendana, na yaweza kusemwa kikweli kwamba ‘Mwashuri afika Misri, na Mmisri afika Ashuru.’ Ni kana kwamba kuna njia kuu kutoka kwa mmoja hadi kwa mwingine.—1 Petro 2:17.
-