-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
14. Licha ya ujumbe wa Yehova wenye onyo, watu wana mtazamo gani usio wa hekima?
14 Isaya aendelea: “Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung’oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wakazi wa Yerusalemu hawajuti kamwe kwa sababu ya uasi wao dhidi ya Yehova. Hawalii, hawanyoi nywele zao, wala kuvaa nguo za magunia kama ishara ya toba. Iwapo wangekuwa wakifanya hivyo, yaelekea Yehova angewaokoa wasipatwe na matisho yanayokuja.
-