Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 18. Ni nani atakayechukua mahali pa Shebna, na yamaanisha nini kwamba huyo atapokea mavazi rasmi ya Shebna na ufunguo wa nyumba ya Daudi?

      18 Hata hivyo, Shebna ataondolewaje kwenye wadhifa wake? Yehova aeleza kupitia Isaya: “Itakuwa katika siku ile nitamwita mtumishi wangu Eliakimu, mwana wa Hilkia;

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 22:20

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Eliakimu, atakayechukua mahali pa Shebna, atapewa mavazi rasmi ya msimamizi-nyumba huyo pamoja na ufunguo wa nyumba ya Daudi.

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Basi, ofisi ya msimamizi-nyumba ni muhimu, na yeyote anayetumikia humo hutarajiwa kufanya mengi. (Luka 12:48) Huenda Shebna anastahili, lakini kwa kuwa yeye si mwaminifu, Yehova ataweka mwingine badala yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki