-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Vitu vilivyopandwa, vya Shihori, mavuno ya Nile, yaliyokuja juu ya maji mengi, ndiyo pato lake, naye alikuwa soko la mataifa.” (Isaya 23:2, 3)
-
-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
7. Wafanya-biashara wa Sidoni wamesambazaje mali?
7 Wafanya-biashara matajiri wa Sidoni wavuka Bahari ya Mediterania katika shughuli zao za biashara. Wasafirisha mbegu, au nafaka, ya Shihori, ambao ni mfereji wa mashariki kabisa wa Mto Nile kwenye eneo la delta la Misri. (Linganisha Yeremia 2:18.) “Mavuno ya Nile” yatia ndani pia mazao mengine ya Misri. Kuuza na kununua na pia kubadilishana bidhaa hizo huleta faida kubwa kwa wafanya-biashara hao wa baharini na vilevile kwa mataifa wanayofanya biashara nayo. Wafanya-biashara wa Sidoni wajaza mapato Tiro. Watahuzunika kwelikweli Tiro litakapoanguka!
-