-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
16, 17. Ni nini kitakachowapata wakazi wa Tiro jiji hilo liangukapo? (Ona kielezi-chini.)
16 Isaya aendelea na hukumu ya Yehova juu ya Tiro: “Pita katika nchi yako, kama [Mto] Nile, Ee binti wa Tarshishi, hapana tena mshipi wa kukuzuia.
-
-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
17 Kwa nini Tiro laitwa “binti wa Tarshishi”? Labda kwa sababu baada ya kushindwa kwa Tiro, Tarshishi litaendelea kuwa na nguvu zaidi kati ya majiji hayo mawili.c Wakazi wa Tiro lililoharibiwa watatawanyika kama mto uliofurika, kingo zake zimevunjika na maji yake yakifurika kuingia kwenye nyanda zote jirani.
-