-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Sauti ya furaha ya matoazi inakoma; kelele yao wafurahio imekwisha; furaha ya kinubi inakoma.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
12 Matoazi na vinubi ni vyombo vizuri vinavyotumiwa kumsifu Yehova na kuonyesha furaha. (2 Mambo ya Nyakati 29:25; Zaburi 81:2) Nyimbo zake hazitasikika wakati huu wa hukumu ya Mungu.
-