-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mji wa machafuko umebomolewa; kila nyumba imefungwa, asipate kuingia mtu awaye yote. Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka. Ndani ya mji umebaki ukiwa, na lango lake limepigwa kwa uharibifu.”—Isaya 24:7-12.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hakutakuwapo sauti zenye furaha katika magofu ya Yerusalemu, lango lake likiwa “limepigwa kwa uharibifu” na nyumba zake zikiwa ‘zimefungwa,’ asipate kuingia mtu awaye yote. Hayo ni matazamio yenye huzuni kama nini kwa wakazi wa nchi ambayo kwa kawaida ni yenye rutuba!
-