-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hawa watainua sauti zao, watapiga kelele [“watapaza sauti kwa furaha” “NW”]; kwa sababu ya utukufu wa BWANA watapiga kelele toka baharini.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ingawa wanyofu wa moyo watapitia misimu ya majaribu, waweza kuwa na hakika kwamba kutakuwapo ukombozi na furaha wakati ujao. Wenye kuokoka wataona neno la unabii la Yehova likiendelea kuwa wazi nao watatambua kwamba Isaya amekuwa nabii wa kweli wa Mungu. Watajawa na furaha waonapo utimizo wa unabii mbalimbali wa urudisho. Toka kokote kule walikotawanyika—iwe katika visiwa vya Mediterania upande wa Magharibi,
-