-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Toka pande za mwisho wa dunia tumesikia nyimbo, Atukuzwe mwenye haki”!—Isaya 24:13-16a.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
watamsifu Mungu kwa sababu wameokolewa, nao wataimba: “Atukuzwe Mwenye Haki”!
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
15, 16. (a) Isaya ahisije juu ya mambo yatakayowapata watu wake? (b) Ni mambo gani yatawakumba wakazi wasio waaminifu nchini humo?
15 Hata hivyo, ni mapema mno kufurahi sasa. Isaya awaleta watu wa siku yake kwenye hali iliyopo, akitaarifu: “Ndipo niliposema, Kukonda kwangu! kukonda kwangu! ole wangu! Watenda hila wametenda hila, naam, watendao hila wametenda hila sana.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
16 Isaya ahuzunika sana kwa sababu ya mambo yatakayowapata watu wake. Hali ya mambo inayomzunguka yamfanya awe na hisia za ugonjwa na ole. Watendao hila wamejaa nao wasababisha hofu kwa wakazi nchini humo. Yehova atakapoondoa ulinzi wake, wakazi wa Yuda wasio waaminifu watapata hofu mchana na usiku. Maisha yao yatakuwa mashakani. Haitawezekana kuponyoka msiba utakaowakumba kwa sababu ya kuziacha amri za Yehova na kuipuuza hekima yake. (Mithali 1:24-27) Maafa yatakuja hata kama watendao hila nchini humo, wanaojaribu kuwashawishi watu kwamba kila jambo litakuwa sawasawa, watumia maneno yasiyo ya kweli na udanganyifu ili kuwaongoza kwenye uharibifu. (Yeremia 27:9-15)
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
[Picha katika ukurasa wa 267]
Isaya ahuzunika juu ya jambo litakalowapata watu wake
-