-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
18, 19. (a) Huenda usemi “jeshi la mahali palipo juu” warejezea nani, nao wakusanywaje “katika shimo”? (b) Huenda “jeshi la mahali palipo juu” litazingatiwaje “baada ya muda wa siku nyingi”? (c) Yehova awazingatiaje “wafalme wa dunia”?
18 Unabii wa Isaya sasa watia ndani mambo mengi zaidi, ukitaja utekelezaji wa mwisho wa kusudi la Yehova: “Itakuwa katika siku hiyo, BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia;
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19 Huenda usemi “jeshi la mahali palipo juu” warejezea roho waovu walio “watawala wa ulimwengu wa giza hili, . . . majeshi ya roho waovu katika mahali pa kimbingu.” (Waefeso 6:12) Hao wameathiri sana serikali za ulimwengu. (Danieli 10:13, 20; 1 Yohana 5:19) Lengo lao ni kuwageuza watu kutoka kwa Yehova na ibada yake safi. Wao wafaulu kama nini kushawishi Israeli kufuata mazoea machafu ya mataifa yanayowazunguka na hivyo wastahili hukumu ya Mungu! Lakini hatimaye ni lazima Shetani na roho wake waovu watoe hesabu kwa Mungu ageuzapo uangalifu wake kwao na kwa watawala wa dunia, “wafalme wa dunia katika dunia,” ambao wamewashawishi wamwache Mungu na kuvunja sheria zake. (Ufunuo 16:13, 14)
-