-
Wokovu kwa Wanaochagua NuruMnara wa Mlinzi—2001 | Machi 1
-
-
Au azishike nguvu zangu, afanye amani nami; naam, afanye amani nami.” (Isaya 27:4, 5)
-
-
Wokovu kwa Wanaochagua NuruMnara wa Mlinzi—2001 | Machi 1
-
-
Acheni wote ‘wazishike nguvu za Yehova,’ wakitafuta kibali na ulinzi wake. Kwa kufanya hivyo, tutakuwa na amani na Mungu—jambo lililo muhimu sana hivi kwamba Isaya analitaja mara mbili.—Zaburi 85:1, 2, 8; Waroma 5:1.
-