Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 24. Wayudea waonyeshaje kwamba hawamwogopi Mungu?

      24 Kwa sasa, hata hivyo, viongozi wenye majigambo wa Yuda waamini kuwa ni wajanja sana hivi kwamba wataepuka adhabu ya kupotoa ibada safi. Je, watafaulu? Isaya afunua ficho lao, akiwafichua kuwa watu wasiomwogopa Mungu kikweli na hivyo basi hawana hekima ya kweli: “Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? nani atujuaye?

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 29:15,

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Haidhuru wanadhani wamejificha kadiri gani, wao wasimama ‘uchi na wakiwa wamefunuliwa wazi’ machoni pa Mungu.—Waebrania 4:13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki