Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Endelea Kumngojea Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata wingi hautawafaidi kitu. “Elfu moja watakimbia kwa kukemewa na mtu mmoja; kwa kukemewa na watano mtakimbia.” (Isaya 30:17a) Majeshi ya Yuda yatajawa na hofu na kukimbia kwa kukemewa na adui wachache tu.a Mwishowe, ni mabaki tu watakaoachwa, wakiwa peke yao, “kama mlingoti juu ya kilele cha mlima, na kama bendera juu ya kilima.” (Isaya 30:17b) Kupatana na unabii huo, jiji la Yerusalemu linapoharibiwa mwaka wa 607 K.W.K., ni mabaki tu wanaosalia.—Yeremia 25:8-11.

  • Endelea Kumngojea Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • a Ona kwamba iwapo Yuda ingalikuwa yenye uaminifu, jambo lililo kinyume cha hilo lingalitendeka.—Mambo ya Walawi 26:7, 8.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki