-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
5, 6. (a) Sababu gani Mungu ayatoza mataifa hesabu? (b) ‘Milima itayeyushwaje kwa damu yao’?
5 Unabii huo sasa waeleza matarajio mabaya kwa mataifa yasiyomhofu Mungu—kinyume kabisa cha matumaini mema ya watu wa Mungu yanayoelezwa baadaye. (Isaya 35:1-10) Nabii ataarifu: “BWANA ana ghadhabu juu ya mataifa yote, na hasira kali juu ya jeshi lao lote; amewaangamiza kabisa, amewatoa waende kuchinjwa.
-
-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
6 Fikira zakazwa kwenye hatia ya damu ya mataifa. Leo mataifa ya Jumuiya ya Wakristo yana hatia kubwa ya damu kushinda mengine yote. Yamejaza damu ya binadamu duniani kupitia vita viwili vya ulimwengu na vita vingine vidogo-vidogo vingi. Ni nani anayestahili kudai haki kwa sababu ya hatia hiyo yote ya damu? Si mwingine ila Muumba, Mpaji-Uhai mkuu. (Zaburi 36:9)
-
-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Majeshi yao yatakapoharibiwa kabisa, mataifa ya kilimwengu yataona kuanguka kwa serikali zao, ambazo nyakati nyingine hufananishwa na milima katika unabii wa Biblia.—Danieli 2:35, 44, 45; Ufunuo 17:9.
-