-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.”—Isaya 34:2, 3.
-
-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Sheria ya Yehova imeweka kiwango: “Utatoza uhai kwa uhai.” (Kutoka 21:23-25; Mwanzo 9:4-6) Kupatana na sheria hiyo, yeye atasababisha damu ya mataifa imwagike—hadi wafe. Hewa itajaa uvundo wa maiti zao ambazo hazikuzikwa—kifo cha aibu kwelikweli! (Yeremia 25:33) Itakuwa kana kwamba milima inayeyuka kwa sababu ya wingi wa damu inayodaiwa. (Sefania 1:17) Majeshi yao yatakapoharibiwa kabisa, mataifa ya kilimwengu yataona kuanguka kwa serikali zao, ambazo nyakati nyingine hufananishwa na milima katika unabii wa Biblia.—Danieli 2:35, 44, 45; Ufunuo 17:9.
-