Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Aghadhibikia Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele.” (Isaya 34:9, 10a)

  • Yehova Aghadhibikia Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Moshi ‘unaopaa milele’ waonyesha jambo hilo vizuri. Nyumba inapochomeka, moshi huendelea kutoka katika majivu kwa muda fulani baada ya miale kuzima, na kuwathibitishia watazamaji kwamba moto umekuwapo. Kwa kuwa Wakristo leo wanajifunza kutokana na uharibifu wa Edomu, moshi wa kuchomeka kwa Edomu bado unapaa kwa njia fulani.

      16, 17. Edomu itakuwaje, nayo itaendelea katika hali hiyo kwa muda gani?

      16 Unabii wa Isaya waendelea, ukitabiri kuwa mahali pa watu wa Edomu patachukuliwa na wanyama wa mwituni, ikiashiria ukiwa unaokuja: “Tangu kizazi hata kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele.

  • Yehova Aghadhibikia Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hali hiyo yenye ukiwa nchini itaendelea, kama mstari wa 10 usemavyo, “milele na milele.” Haitarudishwa tena.—Obadia 18.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki