-
Wenye Shangwe Sasa na MileleMnara wa Mlinzi—1996 | Februari 15
-
-
9. Jambo fulani kama lile lililofafanuliwa kwenye Isaya 35:1, 2, 5-7 lilisitawikaje katika wakati wetu?
9 Kwa kuyafikiria yaliyo juu, acheni tuchunguze mara nyingine tena Isaya sura ya 35, na tutazame kwanza mstari wa 1 na wa 2. Mahali palipoonekana kuwa mkoa usio na maji kwa kweli palianza kuchanua maua na kuwa penye kutokeza matunda kama vile nyanda za kale za Sharoni.
-
-
Wenye Shangwe Sasa na MileleMnara wa Mlinzi—1996 | Februari 15
-
-
Je, si wazi kwamba tumepata ile ambayo huitwa kwa kufaa paradiso ya kiroho? La, haijakamilika—bado. Lakini kwa kweli ni paradiso, kwa maana, hapa twaweza tayari ‘kuona utukufu wa Yehova, uzuri wa Mungu wetu,’ kama vile isemwavyo katika mstari wa 2, (NW).
-