-
Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani YakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
7. Rabshake ni nani, na kwa nini atumwa Yerusalemu?
7 Senakeribu amtuma Rabshake (ni jina la cheo cha kijeshi, wala si jina la mtu binafsi) pamoja na wakuu wengine wawili kwenda Yerusalemu ili kulilazimisha jiji kusalimu amri. (2 Wafalme 18:17)
-