Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hezekia akawafurahia, akawaonyesha nyumba yake yenye vitu vyake vya thamani, fedha na dhahabu, na manukato, na marhamu ya thamani, na nyumba yote yenye silaha zake za vita, na vitu vyote vilivyoonekana katika hazina zake; hapakuwa na kitu nyumbani mwake wala katika ufalme wake asichowaonyesha.”—Isaya 39:1, 2.b

      29. (a) Huenda Hezekia ana nia gani awaonyeshapo wajumbe wa Wababiloni mali zake? (b) Matokeo ya uamuzi wenye kosa wa Hezekia yatakuwa nini?

      29 Hata baada ya kushindwa kabisa na malaika wa Yehova, Ashuru yaendelea kuwa tisho kwa mataifa mengi, kutia ndani Babiloni. Labda Hezekia alitaka kumfurahisha mfalme wa Babiloni ili awe mshirika wake wakati ujao. Hata hivyo, Yehova hataki wakazi wa Yuda washirikiane na adui zao; anataka wamtumaini yeye!

  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 30. Hezekia alionyeshaje mtazamo mzuri?

      30 Labda likirejezea tukio ambalo Hezekia aliwaonyesha Wababiloni hazina zake, andiko la 2 Mambo ya Nyakati 32:26 lataarifu hivi: “Hezekia akajinyenyekeza kwa ajili ya huku kutukuka kwa moyo wake, yeye na wenyeji wa Yerusalemu, hata haikuwajia hasira ya BWANA siku za Hezekia.”

  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • b Baada ya kushindwa kwa Senakeribu, mataifa jirani yalimletea Hezekia zawadi za dhahabu, fedha, na vitu vingine vyenye thamani. Twasoma kwenye 2 Mambo ya Nyakati 32:22, 23, 27 kwamba “Hezekia akawa na mali nyingi mno na heshima” na kwamba “hata yeye akatukuka tangu wakati ule machoni pa mataifa yote.” Huenda zawadi hizo zilimwezesha kujaza tena nyumba yake ya hazina, ambayo alikuwa ameiacha tupu alipowalipa Waashuri ushuru.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki