-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mwito wa Ushindani kwa Miungu
7, 8. Yehova anaitoleaje miungu ya mataifa mwito wa ushindani?
7 Chini ya Sheria ya Kimusa, mkombozi—kwa kawaida mwanamume aliye jamaa wa karibu—angeweza kumnunua mtu wake kutoka utumwani. (Mambo ya Walawi 25:47-54; Ruthu 2:20) Sasa Yehova anajitambulisha kuwa Mkombozi wa Israeli—ambaye atalikomboa taifa, hata Babiloni na miungu yake yote ione aibu. (Yeremia 50:34) Yehova anaikabili miungu ya uwongo na waabudu wake, akisema: “BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Anayeweza kufanya hivyo ni yule tu ‘wa kwanza na wa mwisho,’ aliyekuwako kabla ya miungu yote ya uwongo kuwaziwa, na ambaye bado atakuwako muda mrefu baada ya miungu hiyo kutokomea.
-