-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
14. Watengeneza-mifano wanamtegemea Yehova kabisa kwa jinsi gani?
14 Isaya anaendelea kuonyesha kwamba watengeneza-mifano hutegemea kabisa taratibu za kiasili na vitu vilivyoumbwa na Yehova: “Yeye hujikatia mierezi, hutwaa mtiriza, na mwaloni, hujichagulia mti mmoja katika miti ya msituni; hupanda mvinje, mvua ikausitawisha.
-