-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Nimeyafuta makosa yako kama wingu zito, na dhambi zako kama wingu; unirudie; maana nimekukomboa.
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Anasema na watu wake kwa wororo, akiwahakikishia atafunika dhambi zao kabisa wakitubu, afiche makosa yao kana kwamba anayaficha nyuma ya mawingu yasiyopenyeka. He, kweli Israeli wana sababu nzuri sana ya kushangilia! Kielelezo cha Yehova husukuma watumishi wake wa kisasa waige rehema yake. Wanaweza kufanya hivyo kwa kujitahidi kuwasaidia wakosaji—kujaribu kuwaimarisha upya kiroho, ikiwezekana.—Wagalatia 6:1, 2.
-