Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Mimi nimemwinua katika haki, nami nitazinyosha njia zake zote; ataujenga mji wangu, naye atawaacha huru watu wangu waliohamishwa, si kwa kulipwa fedha, wala kwa kupewa zawadi, asema BWANA wa majeshi.”—Isaya 45:11-13.

  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Katika kisa kinachozungumziwa, Mtawala Mwenye Enzi Kuu ameamua kumwinua Koreshi, mpagani, awe mkombozi wa Israeli. Ingawa bado Koreshi hajaja, ni hakika kwamba atakuja sawa na vile ilivyo hakika kwamba kuna mbingu na dunia. Basi, ni mwana yupi wa Israeli angethubutu kumchambua Baba, “BWANA wa majeshi”?

      16. Kwa nini watumishi wa Yehova wanapaswa kujitiisha chini yake?

      16 Mistari hii hii ya Isaya ina sababu nyingine ya kuwafanya watumishi wa Mungu wajitiishe kwake. Maamuzi yake ni ya kunufaisha watumishi wake daima. (Ayubu 36:3) Alitunga sheria za kuwasaidia watu wake wajinufaishe. (Isaya 48:17) Wayahudi wa siku za Koreshi wanaoikubali enzi kuu ya Yehova wanauona ukweli huo. Koreshi anatenda kupatana na haki ya Yehova na kuwaagiza watoke Babiloni wakalijenge hekalu upya. (Ezra 6:3-5) Vivyo hivyo leo, baraka hupatikana na wale wanaotumia sheria za Mungu katika maisha yao ya kila siku na kujinyenyekeza chini ya enzi kuu yake.—Zaburi 1:1-3; 19:7; 119:105; Yohana 8:31, 32.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki