Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hubirini, toeni habari; naam, na wafanye mashauri pamoja; ni nani aliyeonyesha haya tangu zamani za kale? ni nani aliyeyahubiri hapo zamani? Si mimi, BWANA? wala hapana Mungu zaidi ya mimi; Mungu mwenye haki, mwokozi; hapana mwingine zaidi ya mimi.” (Isaya 45:20, 21)

  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata hivyo, wale wanaomwabudu Yehova wanapata kwamba ana uwezo wa kutimiza matukio aliyotabiri “zamani za kale,” mojawapo likiwa ni wokovu wa watu wake walioko uhamishoni Babiloni. Uwezo huo na nguvu hizo za kuona mbele humtofautisha Yehova na miungu mingine yote. Kwa kweli, yeye ni “Mungu mwenye haki, mwokozi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki