Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 12. Kwa nini watumishi wa Mungu hawapaswi kuogopa wanapoharibiwa jina na wapinzani wa kibinadamu?

      12 Sasa Yehova anaongea na watu wale ‘wanaofuatia uadilifu,’ akisema hivi: “Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao.

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 51:7,

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Wale wanaomtumainia Yehova wataharibiwa jina na kusutwa kwa sababu ya msimamo wao wa ushujaa, lakini hilo si jambo la kuogopwa.

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kama vile Wayahudi waaminifu wa kale, Wakristo wa kweli leo hawana sababu ya kuwaogopa wapinzani wowote. Yehova, Mungu wa milele, ndiye wokovu wao. (Zaburi 37:1, 2) Suto kutoka kwa adui za Mungu ni ushuhuda wa kwamba watu wa Yehova wana roho yake.—Mathayo 5:11, 12; 10:24-31.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki