-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Si wewe uliyeikausha bahari, na maji ya vilindi vikuu; uliyevifanya vilindi kuwa njia, ili wapite watu waliokombolewa?”—Isaya 51:9, 10.
14 Mifano hiyo ya kihistoria inayotajwa na Isaya imechaguliwa vizuri sana. Kila Mwisraeli anajua taifa hilo lilikombolewa kutoka Misri kisha likavuka Bahari Nyekundu. (Kutoka 12:24-27; 14:26-31)
-
-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naam, Yehova alizionyesha nguvu za mkono wake katika shughuli zake na Misri. Sembuse yeye kuwa tayari kuwapigania watu wake waliopelekwa uhamishoni Babiloni!
-