-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
17. Kwa nini Wayahudi hawahitaji kuiogopa hasira kali ya Babiloni?
17 Kisha Yehova anazidi kuwahakikishia watu wake hivi: “Mimi, naam, mimi, ndimi niwafarijiye; wewe u nani hata ukamwogopa mtu atakayekufa, na mwanadamu atakayefanywa kuwa kama majani?
-
-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kwa kutofautiana na Muumba, yule Mungu wa milele, Yehova—wakaaji wa Babiloni watatoweka kama vile nyasi zinavyonyauka chini ya jua kali la kiangazi.
-