-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19. Kwa nini Wayahudi waaminifu wanaweza kuwa na uhakika kamili na maneno ya Yehova?
19 Yehova anaendelea kusema hivi, bado akiifariji Sayuni: “Maana mimi ni BWANA, Mungu wako, niichafuaye bahari, mawimbi yake yakavuma. BWANA wa majeshi ndilo jina lake.
-
-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Biblia hutaja mara nyingi kwamba Mungu anaweza kunyosha nguvu zake juu ya bahari na kuidhibiti. (Ayubu 26:12; Zaburi 89:9; Yeremia 31:35) Anadhibiti kabisa nguvu za asili, kama alivyoonyesha alipowakomboa watu wake kutoka Misri. Ni nani anayeweza kulinganishwa na ‘Yehova wa majeshi,’ hata kwa njia ndogo sana?—Zaburi 24:10.
-