-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wana wako wamezimia, wamelala penye pembe za njia kuu zote kama kulungu [“kondoo-mwitu,” “NW”] wavuni; wamejaa hasira ya BWANA, lawama ya Mungu wako.”—Isaya 51:19, 20.
-
-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Wana” wake watasimama wakiwa hoi kwa kushindwa kumwongoza na kumshikilia asianguke, wakiwa wamekonda sana, na kuwa wanyonge kiasi cha kutokuweza kuwakinza wavamizi Wababiloni. Watalala peupe kwenye makutano au pembe ya barabara, wakiwa wamezimia, wamedhoofika, na kuishiwa na nguvu. (Maombolezo 2:19; 4:1, 2) Watakuwa wamekunywa kikombe cha hasira kali ya Mungu, wawe hoi kama wanyama walionaswa wavuni.
-